Wachezaji
wa Coastal Union wakiwa uwanja wa ndege Tanga wakipanda ndege kuelekea
Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya Mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya
msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania bara, safari hiyo imedhaminiwa na
wafadhili wa timu hiyo kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe.. |
0 maoni:
Post a Comment