Tuesday, December 31, 2013

...
Hivi karibuni Tulifanya mazungumzo na watangazaji wakongwe watatu nchini, Godwin Gondwe aka Double G ambaye kwa sasa ni lecturer wa chuo kikuu cha Tumaini na pia msomaji wa habari wa ITV na shughuli zingine, Sosthenes Ambakisye aka SOS B ambaye kwa sasa hayupo tena kwenye utangazaji na Basil Mbakile ambaye kwa sasa ni mtangazaji/reporter wa idhaa ya Kiswahili ya BBC.   Wote hawa kwangu...
Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.  siti...

waliotembelea blog