Tuesday, February 18, 2014

,  Carles Puyol na Cesc Fabregas Neymar Mapema!!! Nyota wa klabu ya Barcelona wakiwa katika ndege tayari kwa safari yao kuelekea nchini UIngereza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Manchester City...
Baada ya mara mbili kushindwa kuvuka Hatua ya Makundi ya UCL, Msimu huu Manchester City wamemudu kuvuka hatua hiyo lakini sasa wapo kwenye lindi la Vigogo wa Bara la Ulaya, Barcelona, ambao mashambulizi yao yanaongozwa na Masupastaa wa Argentina na Brazil, Lionel Messi na Neymar. Man City walimaliza Kundi lao la UCL wakiwa nyuma ya Mabingwa Watetezi Bayern Munich na watatinga kwenye...
Siku ya leo Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam ilikuwa ikimsomea shitaka mwigizaji maarufu wa Bongo Movie, Elizabeth Michael LULU la kuua bila kukusudia msanii wa maigizo Steven Kanumba mnamo April 07 mwaka 2012 eneo la Vatican Sinza jijini Dar es salaam. Lulu akiwa na Dr.Cheni pamoja na mama yake mahamani Hata ivyo wakili anayemtetea LULU, Peter Kibatala alisema kwamba wameridhishwa...

waliotembelea blog