Kaptani wa Chelsea, John Terry (katikati) akinyanyua Kombe akiwa na wachezaji wa timu hiyo.Hatari tupu kwa Kocha jose mourinho.Kikosi
cha timu ya Chelsea kikiongozwa na Kocha wao, Jose Mourinho baada ya
kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup
2014/15 usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0
dhidi ya Tottenham.Wachezaji wa Chelsea wakishangilia...