Meneja wa Manchester United
David Moyes anahisi kuwa klabu yake isingekosa bahati hivyo kiasi cha
kupata kichapo cha mabao mawili kwa moja dhidi ya Stoke City.
...
Libya mabingwa wa CHAN 2014
Libya imepata ushindi wake wa
kwanza wa kombe la taifa bingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi
ya Ghana mjini Cape Town Afrika Kusini.
Mechi...