Saturday, June 6, 2015

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo,mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja...
Luis Suarez, Neymar, Jordi Alba, Lionel Messi, Javier Mascherano na Gerard Pique kwenye mazoezi yao wiki hii wakijiandaa ya Mtanange wa Fainali ya Uefa Champions League kesho Jumamosi Juni 6, 2015. Hii ni Fainali ya UEFA CHAMPIONS ambayo ama FC Barcelona ya Spain au Juventus ya Italy itatwaa Ubingwa wa Ulaya na pia Bingwa huyo atakuwa ametwaa Trebo Msimu huu baada ya Timu zote mbili kutwaa...
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa Addis Ababa uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaofanyika Juni 14, jijini Alexandria. (Picha kwa hisani ya TFF)Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa Addis Ababa zamani ukifahamka...

waliotembelea blog