Friday, February 14, 2014

Februari 14 wapendanao duniani huitumia siku hii kusherehekea na wapendwa wao wakijumuika kula na kunywa. Mjengwa blog tunakuletea historia fupi ya siku hii ya wapendanao aka Valentine's day Asili ya siku ya wapendanao "Valentine's Day" ni St Valentine, mhubiri wa kikristo aliyekuwa akiishi karibu na mji wa Roma katika karne ya tatu wakati wa utawala wa Claudis...
FIFA Leo imetoa Listi ya Ubora Duniani na zile Nchi 3 za Juu, Spain, Germany na Argentina, bado ziko pale pale na Portugal kupanda nafasi moja na kukamata Nambari ya 4 huku Tanzania ikipanda Nafasi mbili na kushika Nafasi ya 116. Brazil, Wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia hapo Juni, wamepanda Nafasi moja hadi Nafasi ya 9 lakini England imezidi kuporomoka na safari hii imeanguka...
Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Komorozine de Domoni ya Anjuan Visiwa vya Comoro katika mchezo wa Klabu Bingwa Barani Afrika utakaofanyika mji wa Mitsamihuli kwenye uwanja wa Sheikh Said Mohamed International kuanzia majira ya 9 kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki. Mara baada ya jana jioni kufanya mazoezi mepesi katika uwanja...
Thulani Serero  na Ajax Amsterdam nyota Thulani Serero ilikuwa ni pamoja na katika Bafana Bafana kikosi kwa uso 2014 Kombe la Dunia majeshi Brazil katika wa kimataifa wa kirafiki juu ya Machi 5. Serero akaanguka nje ya neema wakati wa Bafana ya Kombe la Dunia kufuzu madai kwamba alikuwa faked kuumia kufuatia. Bafana Bafana kocha...
  President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shake hands with CCN’s Reporter  Christiane Amanpour shortly after an exclusive interview at CNN’s London Studios this evening.During an interview on Illegal Wildlife Trade, President Kikwete descibed the trade as “Madness and a very serious matter,” that calls for joint effort to end the bloody trade.President Kikwete...

waliotembelea blog