
FIFA
Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani ambayo ni ya mwisho kwa Mwaka
2016 na Argentina wameendelea kushika Nambari 1 wakifuata Brazil.
Tanzania imepanda Nafasi 4 na sasa ipo ya 156 kutoka ile ya 160 ya Mwezi uliopita. Mwezi
Januari Mwaka huu Tanzania ilikuwa ya 126 na kupanda hadi 125 Mwezi
Februari, kushuka 130 Aprili na kuyumba lakini Julai ikawa ya 123 na
baada ya hapo mporomoko...