Saturday, March 7, 2015

Baada ya kuliteka na kulikamata vyema soko la muziki wa jana na hata leo, Mwanamuziki mwenye mafanikio kutoka nchini Uganda Jose Chameleone ameachia hewani mkwaju wake mpya na safari hii akivuka mipaka hadi nchini Nigeria, na sasa ana mshirikisha msanii toka pale anaitwa Pato Ranki...
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki kwa viwanja sita kutimua vumbi, michezo mitatu ikifanyika siku ya jumamosi na michezo mingine mitatu kufanyika siku ya jumapili. Katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, wenyeji timu ya Polisi Morogoro watawakaribisha maafande wa Ruvu Shooting kutoka Mlandizi, Coastal Union watakua wenyeji wa Kagera Sugar kwenye dimba la Mkwakwani, ...

waliotembelea blog