Friday, July 18, 2014

Leo hii Stamina ametengeneza gumzo kwa mashairi yaliyo katika wimbo wake mpya na Nay wa Mitego "Huko Kwenu Vipi" ambao wamejibizana kuhusu mziki wa kuimba na mziki wa hiphop (Ngumu) Lengo kubwa katika ngoma hii ni kutuweka pamoja wasani, kusiwe na tabaka la bongo fleva hivi hiphop hivi wote tuwe kitu kimoja amesema Stamina. huu ni mmoja kati ya mashairi yaliyoko katika wimbo huo .   Stamina...
 Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara...
+5 Van Gaal alikuwa na tabasamu kubwa wakati wa mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari katika klabu ya Manchester United manager. LOUIS van Gaal hataleta kombe la ligi kuu Manchester United katika msimu wake kwa kwanza, kwa mujibu wa kocha wa Queens Park Rangers, Harry Redknapp. Redknapp, aliyekamilisha usajili wa beki wa zamani wa United, Rio Ferdinand jana alhamisi, haoni...
+4  Luis Suarez, alitia muhuri katika jezi na bendera ya Uruguay na kuwatupia mashabiki nje ya nyumba yake. Imechapishwa Julai 18, 2014, saa 11:07 jioni BARCELONA inatarajia kumpa majukumu mpya nyota wake Lionel Messi ambapo sasa atacheza nyuma ya washambuliaji wawili, Luis Suarez na Neymar, kwa mujibu wa ripoti za Hispania. Kuelekea msimu ujao, Kocha Luis Enrique...
Imechapishwa Julai 18, 2014, saa 8:32 mchana Semina elekezi ya michuano ya Airtel Rising Stars kwa mikoa sita inafanyika kesho (Julai 19 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Washiriki wa semina hiyo ni kutoka mikoa ya Mbeya (Katibu na mwakilishi wa wanawake), Mwanza (Katibu na mwakilishi wa wanawake), Morogoro (Katibu), ...
Na Boniface Wambura, Dar es salaam Imechapishwa Julai 18, 2014, saa 8:00 mchana Viingilio kwa mechi ya Taifa Stars na Msumbiji itakayochezwa keshokutwa (Jumapili) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ni sh. 7,000 na sh. 30,000 kwa viti maalumu 4,500 tu.  Kuanzia kesho asubuhi (Jumamosi) tiketi za kielektroniki zitauzwa pia katika magari maalumu kwenye vituo vya Buguruni Shell,...
Straika wa Chelsea Demba Ba amefuzu upimwaji afya huko Besiktas na Ijumaa anatarajiwa kukamilisha Uhamisho wa Pauni Milioni 8.Ba, mwenye Miaka 29, alianza Mechi 23 kati ya 50 alizochezea Chelsea Msimu uliopita na kufunga Bao 14.Kwenye Msimu huo, Ba alikuwa nyuma kwa namba akiwa chaguo la mwisho baada ya Samuel Eto'o na Fernando Torres.Lakini Eto’o hivi sasa amemaliza Mkataba na Chelsea wamemsaini...
TONI Kroos amekamilisha uhamisho wa paundi milioni 24 kujiunga na Real Madrid kutokea kwa mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich. Bayern walitangaza jana usubuhi kwamba klabu hizo mbili zimefikia makubaliano na uhamisho utafanyika mara moja. Mkataba wa Kroos ilikuwa unamalizika majira ya kiangazi mwakani na mshindi huyo wa kombe la dunia amesaini mkataba wa miaka sita katika dimba la Santiago...
Mbwana Samatta akishangilia moja ya goli aliloifungia Taifa Stars mechi za nyuma Na Baraka Mpenja, Dar es salaam Imechapishwa Julai 18, 2014, saa 9:00 asubuhi TAIFA Stars chini ya kocha, Mholanzi, Mart Nooij, inakabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Msumbiji `Black Mambas` , kuwania kupangwa hatua ya makundi kusaka tiketi ya kwenda kushiriki fainali za mataifa ya Afrika, AFCON , mwakani nchini...

waliotembelea blog