Kijana mpya: Loic Remy ameamua kuchukua jezi namba 18 baada ya kujiunga na Chelsea jumapili iliyopita.
MSIMU ujao, Loic Remy hatavaa jezi namba 9 inayosemekana kuwa na gundu katika klabu ya Chelsea.
Kuondoka kwa Fernando Torres kumeifanya jezi hiyo ambayo kwa utamaduni anavaa mshambuliaji wa kati ibaki bila mtu.
Lakini Remy ambaye amejiunga na Chelsea kwa dau la paundi...
Thursday, September 4, 2014



Novak
Djokovic amefanikiwa kumtupa nje ya michuano ya wazi ya Marekani " Us
Open " mchezaji wa Uingereza Andy Murray na kutinga hatua ya nusu
fainali ya michuano hiyo. Djokovic sasa atacheza na Kei Nishikori wa Japan kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Andy Murray akijaribu kuurudisha mpira uliopigwa na Novac Djokovic Novac Djokovic akishangilia kutinga nusu fainali ya michuano hi...


Wayne Rooney akifunga bao lake kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili baada ya kwenda 0-0 kipindi cha kwanza.
Rooney akishangilia baada ya kuitanguliza England mbele ya bao 1-0Rooney akishangilia bao lake la penati dakika ya 68 na Jordan Henderson akipongeza pia..
Wayne Rooney akimiliki mpira dhidi ya mchezaji wa Norway Mats Daehli.
BAO la England lilifungwa na Wayne
Rooney kipindi cha...


Ángel Di María akishangilia bao lake kwa aina yake!!
Sergio Agüero aliifungia bao la kwanza
katika dakika 20, Bao la pili lilifungwa na Erik Lamela dakika ya 40 na
kufanya kwenda mapumziko bao 2-0 dhidi ya Germany. Kipindi cha pili
Argentina hawakuishia hapo dakika ya 47 Federico Fernández aliongeza bao
la tatu. Bao la nne lilifungwa na Mchezaji mpya wa Man United Ángel Di
María aliyewachomoka...
Subscribe to:
Posts (Atom)