Van Gaal-Kocha wa Man UnitedMeneja
wa Chelsea Jose Mourinho amesema Manchester United ni tishio licha ya
kukabiliwa na Majeruhi kadhaa kitu ambacho Meneja wa Man United Louis
van Gaal amesema kitatoa nafasi kwa Wachezaji wengine. Hii itakuwa
mara ya pili kwa Jose Mourinho na Louis van Gaal, ambao walikuwa pamoja
huko Barcelona Miaka 20 iliyopita wakati Van Gaal akiwa Meneja na kumpa
nafasi...
Friday, April 17, 2015



LA LIGA - RATIBA Ijumaa Aprili 17 21:45 Levante vs Espanyol Jumamosi Aprili 18 17:00 Barcelona vs Valencia 19:00 Deportivo La Coruna vs Atletico Madrid 21:00 Real Madrid vs Malaga 23:00 Athletic Bilbao vs Getafe Jumapili Aprili 19 13:00 Rayo Vallecano vs Almeria 18:00 Granada vs Sevilla 20:00 Villarreal vs Cordoba 22:00 Eibar vs Celta Vigo Jumatatu Aprili 20 21:45 Elche vs Real Sociedad
Mbio
...



LIGI KUU ENGLAND Jumamosi Aprili 18 17:00 Crystal Palace v West Brom 17:00 Everton v Burnley 17:00 Leicester v Swansea 17:00 Stoke v Southampton 19:30 Chelsea v Man United Jumapili Aprili 19 15:30 Man City v West Ham 18:00 Newcastle v Tottenham
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA: CHELSEA KILELENI.
English Premier League
#
Team
GP
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
...


FA CUP Nusu Fainali Mechi zote kuchezwa Wembley, London Jumamosi Aprili 18 19:20 Reading v Arsenal Jumapili Aprili 19 18:00 Aston Villa v LiverpoolMichezo yote ya FA CUP wikiendi hii kuchezewa kwenye Uwanja wa Wembley, London
Huko Uingereza, Mechi ya Nussu Fainali
ya FA CUP ya Reading vs Arsenal itaonyeshwa na TV ya BBC1 na ile ya Ligi
ya Chelsea vs Man United itarushwa na Sky Sports. Kutokutenganishwa
...


Mechi
za Jumamosi za Nusu Fainali ya FA CUP na Bigi Mechi ya Ligi Kuu England
ambazo zote zitachezwa Jijini London huko Uingereza zimezua tafrani
kubwa baada ya kutokea mgonganoo kwa sababu tu ya matakwa ya Makampuni
ya TV.Jumamosi Uwanjani Wembley itachezwa Nusu Fainali ya Kombe
kubwa na kongwe ya FA CUP kati ya Reading na Arsenal kuanzia Saa 1 na
Dakika 20 Usiku kwa Saa za Bongo na...
Subscribe to:
Posts (Atom)