Monday, August 11, 2014

Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN. Msanii Diamond,pamoja na wageni alioambatana nao akiwemo Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wakati wakiwasili katika uzinduzi huo. Terrence akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ambayo naye ameshiriki kuanza. Diamond akisalimiana na baadhi ya mashabiki baada...
Mikel Arteta aliongoza Mtoko huo Alex Oxlade-Chamberlain na Jack Wilshere wakiingia kwenye baa ya Novikov Bar. Wachezaji wa Arsenal Arsenal Alexis Sanchez, Jack Wilshere, Mikel Arteta na wengine kibao walisherehekea Ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Man City na kutwaa kombe la Community Shield.Wachezaji hao walionekana kwenye Ukumbi wa Bar wa Maraha huko Mayfair Novikov ukiwa ni Mtoka wa...
 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd’s Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika TCC Club, Chang’ombe Agosti 22, mwaka huu.  Ni mazoezi kwa kwenda mbele.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Rebecca...
Kocha wa Man City Manuel Pellegrini asisitiza timu yake itatetea taji lake Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amesema anamatumaini makubwa timu hiyo italitetea taji lake licha ya kuambulia kichapo cha mabao matatu kwa nunge dhidi ya vibonde wao Arsenal katika mechi ya kuwania ngao ya Community hapo jana. Man City, wameratibiwa kufungua kampeini ya kutetea taji lao dhidi ya Newcastle...
Nyota wa  muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho  la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki.  Baada...

waliotembelea blog