Sunday, October 26, 2014

Kocha wa Liverpool, Rogers baada ya Balotelli kubadilishana jezi Meneja wa Liverpool Brendan Rogers amesema atachukua hatua dhidi ya Baloteli baada ya Balotelli kubadilishana jezi na Pepe mchezajiwa Real Madrid muda wa mapumziko Jumatano katika mchezo wa klabu bungwa Ulaya ambapo liverpool ilifungwa 3-0 na mabingwa watetezi wa kombe hilo uwanja wa Anfield. Rogers alisema “ kama unataka kufanya hivyo fanya mwisho wa mchezo. Nikitu ambacho nitakifanyia kazi alhamisi(leo)” Mario Balotelli dakika...
VIKOSI:Manchester United XI: De Gea, Rafael, Smalling, Rojo, Shaw, Blind, Fellaini, Januzaj, Di Maria, Mata, van Persie.Chelsea XI Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Felipe Luis, Fabregas, Matic, Willian, Oscar, Hazard, DrogbaChelsea kuendelea kutema cheche tena leo?Diego Costa wenda akacheza kipindi cha pili!Radamel Falcao aliumia wenda hasicheze mtanange huu...
Sammy Ameobi akishangilia bao lake la kusawazisha.1-1. Ayoze Pérez Newcastle United wametoka nyuma ya bao 1-0 na kuwapita Spurs kwa bao 2-1 katika kipindi cha pili. Bao la kusawazisha lilifungwa kipindi cha pili mapema dakika ya 46 kupitia kwaSammy Ameobi na bao la kuongoza lilifungwa na Ayoze Pérez katika dakika ya 58.Emmanuel Adebayor aliwafungulia mlango Everton katika dakika...

waliotembelea blog