Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za
kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili
Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima Kilimanjaro.Wachezaji
wakongwe wa Klabu ya Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na
watumishi wa TANAPA mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro.
Waziri...
Monday, August 25, 2014


Stevan Jovetic akishangilia bao lake dakika ya 55 kipindi cha pili.
Ni Stevan Jovetic huyo hyo ndie
kazichana nyavu tena kwa kufunga bao la pili dakika ya 55 baada ya
kupata pasi kutoka kwa Samir Nasri. Bao la tatu lilifungwa na Sergio
Agüero dakika ya 69 kipindi cha pili baada ya kupata ushirikiano safi
kutoka Jesús Navas González. Bao la Liverpool lilipatikana dakika ya 83
na ni...


Benzema aanza kufungua lango...1-0 Bao hilo lilifungwa dakika ya 30 kipindi cha kwanza.
Bao la pili limefungwa na Cristiano
Ronaldo katika dakika za majeruhi dakika 90 baada ya kuachia shuti kali
lililomzidi ujanja kipa wa Cordoba.
Ronaldo kwenye patashika..
Ronaldo chini akilalamika!Bale akimiliki mpira..huku akinyemelewa na Matos wa Cordo...


Waendeshaji
wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na Kituo cha Redio cha TIMES
FM 100.5 wakiendelea na majukumu katika studio za kituo hiko cha Redio
Kilichopo Kawe Jijini Dar Es Salaam wakati wa Kipindi cha Filamu Monata
leo wakati washiriki 10 Bora wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT)
walipotembelea Studio hizo
Jaji
wa Shindano la Tanzania...


Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Tropical.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), akisalimiana na
mwanasoka bora mstaafu wa timu ya Real Madrid, Fernando Sons (kushoto),
baada ya kufika na wenzake kuzindua duka jipya la vifaa vya umeme la
Tropical lililopo maeneo ya Victoria Kinondoni Dar es Salaam jana.
Katikati ni Christian Karembeu. Wakurugenzi
...



Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa
Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki
Wadau nao walikuwepo kupata selfie ya Globu ya jamii ndani ya Fiesta.
Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.
Kwa jijna la Kisanii anajiita Vmoney a.k.a Vanessa Mdee...
Subscribe to:
Posts (Atom)