Wednesday, July 15, 2015

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIWA MAZOEZINI MAREKANI Wachezaji wa Man United  wakiwa mazoezini na hapa wakimsikiliza kwanza Meneja Van GaalKipa David de Gea nae ndani kwenye zoezi Antonio na Ander Herrera wakinyonga! DepayDepay na Bastian Mazoezini tayari kwa mitanange ya kujiandaa na msimu mpya 205/2016 No.1 Wayne Rooney na Michael Carrick kwenye zoezi Bastian Schweinsteiger...
Chuba Akpom(kushoto) akishangilia Hat-trick yake leo hii mbele ya Wasingapore.Mashabiki wa Arsenal 4-01-0 kipindi cha kwanza Dakika ya 30 Chuba Akpom anaifungia bao la kwanza Gunners, Bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Jack Wilshere kipindi cha pili dakika ya 60 na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Singapore kwenye mchezo wa Kirafiki jioni hii. Dakika ya 76 Chuba Akpom aliifungia...

waliotembelea blog