Wafungaji ni Pedro mapema dakika ya (1') kaifungia bao la kuongoza Chelsea huku bao nyingine zkifungwa na
Gary Cahill dakika ya (21'), Eden Hazard dakika ya (62') kipindi cha
pili. N'Golo Kanté dakika ya (70') na mtanange kumalizika kwa bao 4-0
dhidi ya Mashetani wekundu ambao kwa sasa wanaongozwa na Kocha wa zamani
wa Chelsea Jose Mourinho.
...