November 18 headlines za Rais wa shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) Sepp Blatter na Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platini wamerudi tena katika headlines baada ya kufungiwa katika soka kwa siku 90. Blatter na Platini walifungiwa siku 90 kwa makosa kadhaa ikiwemo na...