
Angel
di Maria Akiwa amebeba jezi yake leo hii wakati anasaini mkataba na
Klabu yake mpya ya Man United leo. Angel di Maria ametokea katika Ligi
ya Spain kwenye timu ya Real Madrid.
Angel di Maria akiwa kwenye picha ya pamoja na Bosi wake Mpya wa Manchester United Louis van Gaal
Di Maria akiwa na Gari aina ya Chevrolet nje ya Uwanja wa mazoezi Aon Complex
Di...