Share on facebookShare on twitterShare on linkedinShare on pinterest_shareShare on google_plusone_share
2014 FIFA World Cup Brazil.
Group A: Brazil, Croatia, Cameroon, Mexico
Group B: Australia, Chile, Netherlands, Spain
Group C: Colombia, Côte d’Ivoire, Greece, Japan
Group D: Costa-Rica, England, Italy, Uruguay
Group E: Ecuador, France, Honduras,...
Sunday, June 8, 2014



Kama
ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo
huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali
zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea
kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye
anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen
beautiful women here with butts that make...



MUIGIZAJI
MKONGWE HAPA NCHINI,SAID NGAMBA MAARUFU KWA JILA LA MZEE SMALL
AMEFARIKI DUNIA USIKU WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
ALIKOKUWA AMELAZWA AKIPATIWA MATIBABU.
AKITHIBITISHA
TAARIFA YA KIFO CHA MZEE SMALL,MWANAE AITWAE MAHMOUD AMESEMA MZEE WAKE
AMEFIKWA NA MAUTI HAYO MAJIRA YA SAA NNE USIKU WAKATI AKIWA HOSPITALINI
HAPO AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU.
MIPANGO...


Msafara
wa gari chache majira ya saa 2:30 ulianza safari katika viwanja vya
Usa-River ambako gari za maharusi zilikuwa zikipambwa mdogo mdogo
zikapanda Kilima zikiwa na maharusi Joshua Nassari na Anande Nnko safari
ilikuwa ni kanisa la Kipentekoste la Kilinga,Meru tayari kwa ajili ya
Ndoa.Hatimaye
Bw Harusi Joshua Nassari anateremka katika usafiri wake aina ya Range
Rover muda mfupi baada...



Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM
Tawi la SAUT Kambarage ambapo aliwaambia kuwa wasomi wa vyuo wanatakiwa
kuchangia mawazo yao kwenye chama ambayo yatasaidia kuleta mabadiliko
hasa ya kiuchumi ,alisema ni vyema kuja na mikakati ya kuonyesha uchumi
umepanda kwa mwananchi kuliko huu wa sasa ambao unaonyesha uchumi
umepanda...


Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV
zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza
designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi
saa na bangili za mkono.
NI SUPERB!…
Diamond
na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea
usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao...
Subscribe to:
Posts (Atom)