UEFA CHAMPIONS LEAGUERaundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumanne Februari 18 22:45 Manchester City v FC Barcelona 22:45 Bayer 04 Leverkusen v Paris Saint-Germain
Jumatano Februari 19 22:45 AC Milan v Atletico de Madrid 22:45 Arsenal FC v Bayern Munich
...
Monday, February 17, 2014


Dhoruba
kali ya majira ya baridi kali imesababisha zaidi ya watu 300,000 eneo la
kusini mashariki mwa Marekani kukosa umeme wakati dhoruba hiyo
ikielekea eneo la kati ya Atlantic na sehemu za kaskazini mashariki mwa
taifa hili.
Dhoruba imesababisha kunyesha kwa
darzeni ya sentimeta za theluji kote katika eneo la Washington...
Subscribe to:
Posts (Atom)