Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney, siku kadhaa nyuma alifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Uingereza Sir Bobby Charlton, usiku wa September 8 alivunja rekodi...
Wednesday, September 9, 2015


Wakati mshambuliaji wa Italia na klabu ya AC Milan Mario Balotelli akiwa na wakati mgumu katika maisha yake ya soka, kwa kutokufanya vizuri msimu uliyomalizika katika klabu ya Liverpool kitu kilichochangia kutoitwa timu ya taifa. Mpenzi wake wa zamani Fanny Neguesha anaendelea kufurahia penzi lake jipya na Cheikhou Kouyate.
Fanny...



Barcelona
wamezoa Tuzo ya Klabu Bora Ulaya kwa Msimu wa 2014/15 iliyotolewa na
Chama cha Klabu za Soka Ulaya, ECA(European Club Association). Tuzo
hiyo kwa Barcelona imekuja baada ya wao kutwaa Trebo, yaani Ubingwa wa
La Liga, Copa del Rey na UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu uliopita. Sherehe
za utoaji Tuzo zilifanyika Jana huko Geneva, Uswisi na Tuzo nyingine
walitwaa Klabu ya Ukraine FC Dnipro...


Mechi
za Makundi ya EURO 2016, Kombe la Mataifa ya Ulaya, zinakamilika Leo
kwa ile Raundi ya Mechi za Septemba na kubakisha Mechi 2 kwa kila Timu
ambazo zitachezwa Mwezi ujao huku tayari Timu 3 zimefuzu kuingia
Fainali. Fainali za EURO 2016 zitachezwa Mwakani huko France na
Raundi hii ya Mechi imezifanya England, Iceland na Czech Republic
waungane na Wenyeji France kwenye Fainali. Bado...


.
Unakumbuka ile ishu ya bondia wa ngumi Francis Cheka ya kumpiga na kumuumiza meneja wa baa yake akimtuhumu kusababisha hasara?
Sasa good news ninayotaka kukusogezea ni
kwamba bondia huyo wa mchezo wa masumbwi akiwa anatumikia kifungo cha
nje kwa sasa anatarajia kwenda nchini Uingereza tarehe 15 mwezi huu
kwenye...
Subscribe to:
Posts (Atom)