Mwanasoka raia wa
Tanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mbwana Ally Samatta amenyakua tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika anachezea
ndani ya bara la Afrika.
Tuzo ya mwanasoka bora barani Afrika
imemwendea Pierre-Emerick raia wa Gabon anayesakata kambumbu katika
klabu ya Borussia Dotmund nchini Ujerumani.
Tuzo hizo za kila
mwaka zinazotolewa na...
Friday, January 8, 2016


FA
CUP, ambalo sasa linaitwa Emirates FA Cup kwa sababu za kiudhamini na
ni Kombe kongwe kabisa Duniani, litaanza kurindima Ijumaa Usiku huko
England kwa Mechi pekee huko Mjini Exeter kati ya Exeter City FC na
Liverpool. Huu ni mwanzo wa Mechi za Raundi ya 3 FA CUP,
inayoshirikisha jumla ya Timu 64, ambayo Klabu za Ligi Kuu England na
Daraja la chini yake, The Championship, huanzia kampeni...


Belgium imebaki Nambari Wani kwenye FIFA Listi ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo huku Tanzania ikipanda Nafasi 6. 20 Bora imebaki vilevile bila mabadiliko huko Mabingwa wa Dunia, Germany, wakiwa Nafasi ya 4. Tanzania sasa ipo Nafasi ya 126 baada ya kupanda Nafasi 6 toka Mwezi uliopita. Kwa Afrika, Timu ya juu kabisa kwenye Listi ya Ubora ni Ivory Coast ambayo ipo Nafasi ya 19.
"TOP 20" BORA:...
Subscribe to:
Posts (Atom)