Saturday, October 31, 2015

Mshambuliaji wa Simba, Hamisi Kiiza. KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinaendelea tena leo kwenye viwanja vitano tofauti, huku miamba ya soka Yanga na Simba ikirejea tena kusaka pointi tatu. Yanga ambayo kabla ya mechi ya Jumatano iliyotoka sare ya mabao 2-2 na Mwadui FC Uwanja...
LIONEL MESSI WENDA AKAIKACHA SPAIN, KWENYE MIKAKATI YA KUJIFUNZA LUGHA YA KIINGEREZA! CRISTIANO RONALDO NAE YALE YALE...MAN UNITED, PSG KWENYE SAHANI MOJA ZIKIMHITAJI! MCHAMBUZI wa kuheshimika wa Soka la Spain amedokeza kuwa Mastaa wakubwa Nchini humo, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, wako mbioni kutimka na ipo nafasi kubwa kwao kutua Ligi Kuu England. Akiongea na Jarida la talkSPORT,...
Dar es Salaam. Bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka atapanda ulingoni mjini Manchester Uingereza Novemba 7 kupambana katika pambano lisilokuwa la ubingwa. Akizungumza kwa njia ya simu jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Advance Security Limited, Juma Ndambile amesema kuwa Cheka anatarajia kuondoka wiki ijayo kwa ajili ya pambano hilo. Ndambile ambaye ni meneja wa Cheka,...
Barclays Premier League PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Manchester City107121622 2Arsenal107121022 3West Ham United10622920 4Manchester United10622720 5Leicester City10541319 6Tottenham Hotspur10451817 7Crystal Palace10505115 8Southampton10352314 9Liverpool10352-214 10West Bromwich Albion10424-314 11Everton10343013 12Swansea City10343013 13Watford10343-213 14Stoke City10334-312 15Chelsea10325-411 16Norwich...
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Jumamosi Oktoba 31 15:45 Chelsea v Liverpool 18:00 Crystal Palace v Man United 18:00 Man City v Norwich 18:00 Newcastle v Stoke 18:00 Swansea v Arsenal 18:00 Watford v West Ham 18:00 West Brom v Leicester Jumapili Novemba 1 16:30 Everton v Sunderland 19:00 Southampton v Bournemouth...
Theo Walcott na Alex Oxlade-Chamberlain watazikosa Mechi kadhaa za Arsenal kama ilivyothibitishwa na Meneja wa Klabu hiyo Arsene Wenger. Wachezaji hao Wawili waliumia Jumanne iliyopita kwenye Mechi ya Raundi ya 4 ya Capital One waliyofungwa 3-0 na Sheffield Wednesday. Oxlade-Chamberlain aliumia Dakika ya 5 tu ya Mechi hiyo alipopata tatizo la Musuli za Pajani na kubadilishwa...
Chelsea wana kibarua tena wikendi hii watakapowakaribisha nyumbani Liverpool kwenye Ligi ya Premia Jumamosi.Vijana wa Jose Mourinho wamekuwa wakiandikisha matokeo mabaya msimu huu, meneja huyo anakabilisha na shinikizo la kubadili mambo.Chelsea wameshinda mechi moja pekee kati ya sita walizocheza karibuni zaidi katika mashindano yote. The Blues wamefungwa mabao 19 Ligi ya Premia na ni Norwich...
Wafanyakazi wa kampuni ya Screen Masters Limited ya jijini Dar wakiendelea kulipamba basi la Mbeya City.  Basi la klabu ya Mbeya City FC baada ya kupambwa na kampuni ya Screen Masters Limited ya Dar es Salaam tayari kuanza shughuli ya kusafirisha wachezaji wa timu hiyo kwa safari za ndani na nje ya Mbeya kwenye mechi mbalimbali za Ligi Kuu Bara. ...
Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal ambaye wengi wamekuwa wakihoji juu ya mahusiano yake na wachezaji wa timu yake pamoja na aina ya mbinu anazotumia kuifundisha timu hiyo, October 30 amejibu kauli za kiungo wa zamani wa timu hiyo Paul Scholes ambaye October 29 aliponda mbinu...
Tukiwa bado katika muendelezo au mfululizo wa mechi mbalimbali za soka, naomba nikusogezee ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania zitakazochezwa weekend hii, Ligi Kuu Tanzania bara October 31 na November 1 kutakuwa na jumla ya mechi nane, baada ya hapo Ligi Kuu Tanzania bara itasimama hadi December 12 hii inatokana...
Wakiingia katika basi tayari kwa msafara Watumiaji mbalimbali wa vyombo vya muziki wa msanii Wizkid wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere tayari kwa shoo yao ya leo katika Viwanja vya Leaders. Huyo mwenye fulana nyeusi anaitwa  Snipes ndio kiongozi wa bendi ya msanii Wizkid...

waliotembelea blog