Thursday, June 11, 2015

Klabu ya Swansea City inayokipiga Ligi Kuu England imethibitisha kumsaini Mchezaji mpya @AyewAndre na atavaa jezi namba 10 kwa ukamilisho huo wa ujio huo Ligi Kuu katika Klabu hiyo yenye Uwanja unaojulikana Liberty Stadium. Andre Ayew amesajiliwa kutoka kwenye Klabu ya Marseille....
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premier Lager, kesho siku ya ijumaa jioni inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa siku ya jumapili. Stars ambayo imeweka kambi ya mazoezi takribani kwa wiki moja sasa jijini Addis Ababa leo imeendelea na raiba yake ya mazoezi katika uwanja wa Taifa, amabpo leo imefanya...
kuu wa wilaya ya Mufindi Mboni Mhita katikati akiwa katika picha ya pamoja na mabingwa wa mashindano ya kombe la Muungano Mufindi timu ya Mucoba Fc ,wa kwanza kulia ni mratibu wa mashindano hayo aliyestaafu rasmi Daud Yassin na mdau mkubwa wa soka mkoa wa Iringa Feisal Asas Na MatukiodaimaBlog MASHINDANO ya kombe la Muungano Mufindi yamefikia tamati baada ya ...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano na Masoko,Consitantine Magavila akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.kutoka kushoto ni msanii wa Bongo Fleva George Mdemu (Gnako),Afisa mipango wa kampuni ya Open Society Intiative for Eastern Africa(OSIEA),Adam Antony,Afisa Elimu NEC,Rose Malo pamoja na Snura...
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Sepp Blatter ataachia ngazi ifikapo Desemba 16 ambapo mrithi wa kiti hicho atajulikana.Blatter aliyetangaza kujiuzulu wadhifa wake ikiwa ni siku nne tangu kuchaguliwa tena kuliongoza shirikisho hilo kwa muhula watano.Wanachama wote 209 wa Fifa wataalikwa Uswisi kwa ajili ya uchaguzi wa Rais mpya wa shirikisho hilo la soka.Maamuzi ya mwisho ya tarehe ipi...
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015....
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil Marta Vieira da Silva almaarufu Marta ameweka historia ya kuwa mfungaji bora wa michuano ya kombe la dunia la wanawake baada ya kufikisha mabao 15.Marta amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya kufunga bao moja kwa mkwaju wa penati kwenye mchezo wa timu yake dhidi ya korea kusini ambapo Brazili waliibuka kidedea kwa mabao 2-0.Ushindi huo...
Ukurasa wa mbele wa gazeti la The Sun leo umekuja na stori kwamba Manchester United wanahitaji mshambuliaji wa maana ili kurudi kushindania ubingwa msimu ujao. Kwa mujibu wa The Currant Bun, “Manchester United wanakaribia kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Mario Mandzukic”. Mandzukic ameibuka kuwa mchezaji anayewaniwa zaidi na Man United ili kutengeneza muunganiko na Wayne Rooney...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kesho siku ya alhamis tarehe 11/06/2015 wanatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa Vodacom Premier League msimu wa 2014/2015. Hafla ya utoaji wa zawadi hizo itafanyika katika ukumbi wa JB Belmonte (Kilimanjaro) uliopo katika jengo la Golden Jubilee Tower (PSPF), mtaa wa Ohio...
...
Ligi kuu ya Tanzania Bara inategemewa kuwa na msisimko zaidi msimu ujao kwa mwaka 2015/16 baada ya bodi ya ligi nchini kupitisha azimio la kusajili wachezaji 10 wa kigeni.Msimu uliopita wa ligi kuu, kila timu shiriki iliruhusiwa kusajili wachezaji wageni wasiozidi watano lakini azimio jipya, ambalo bado vilabu wamelikubali, litatoa fursa ya kusajili wachezaji 10 katika kile kinachoonekana...
Hatima ya Kocha Luis Enrique kubakia FC Barcelona sasa imekwisha baada ya kusaini nyongeza kwenye Mkataba wake. Katika Msimu wake wa kwanza tu na Barca, Enrique alimudu kutwaa Trebo baada kubeba Ubingwa wa Spain La Liga, Copa del Rey na juzi kuzoa Kombe la Ubingwa Ulaya, UEFA CHAMPIONS LIGI. Lakini licha ya mafanikio hayo ilizigaa imani kubwa ataondolewa. Lakini kwa kusaini...
Mbunge wa viti maalumu Lucy Owenya (Chadema)akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibosho Kilima kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015. Mratibu a mashindano hayo Charles Mchau akisalimiana na wachezaji. Mgeni rasmi katika fainali hiz katibu wa Chadema kanda ya kaskazini Aman Golugwa akisalimiana na wachezaji. Mbunge Lucy Oweya akiwa ameambatana...

waliotembelea blog