Sunday, May 4, 2014

Wakicheza Ugenini Goodison Park, Man City walitoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuifunga Everton Bao 3-2 na kutwaa Uongozi wa Ligi Kuu England kwa kuwakamata Liverpool kwa Pointi na wao kuongoza kwa ubora wa Magoli huku Mechi zimebaki 2 Ligi kwisha. Dakika ya 11 kipindi cha kwanza Everton walipata bao kupitia kwa Barkley baada ya kupiga mpira kwenye umbali wa yadi 25 na kuzama mpaka nyavuni...
Napoli wameichapa Fiorentina Bao 3-1 na kutwaaTaji lao la 5 la Coppa Italia kwenye Fainali iliyochelewa kuanza kwa Dakika 45 kufuatia Mashabiki Watatu kupigwa risasi karibu ya Stadio Olimpico Mjini Rome, Italia ambako Fainali hiyo ilichezwa.Bao mbili za Mchezaji wa Kimataifa wa Italy, Lorenzo Insigne, ziliifanya Napoli iende Mapumziko ikiwa Bao 2-1 mbele huku Bao la Fiorentina likifungwa...

waliotembelea blog