Friday, June 12, 2015

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikagua mizinga ya nyuki alipotembelea mradi wa nyuki unaoendeshwa na vijana eneo la Kishovu, wilayani Karagwe.. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya National Beekeeping Supplier ltd, Kaizerege Camara akimuonesha Katibu Mkuu Ndugu Kinana kifaa kinachotumika kufugia malkia wa nyuki katika mradi huo Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa banda la mradi...

waliotembelea blog