Tuesday, May 26, 2015

Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12...
Carlo Ancelotti ametimuliwa kama Kocha wa Real Madrid baada ya kuiongoza kwa Misimu Miwili na kuiwezesha kutwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI kwa mara ya 10. Ancelotti, Raia wa Italy mwenye Miaka 55 ambae Mkataba wake na Real ulitakiwa kwisha mwishoni mwa Msimu ujao, Msimu uliopita alileta mafanikio Klabuni hapo kwa kutwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI na Copa del Rey na kisha kutwaa Kombe la Klabu Bingwa...
Norwich City Leo hii wamefanikiwa kurudi tena Ligi Kuu England baada ya kuporomoka Msimu mmoja uliopita baada ya kuichapa 2-0 Middlesbrough kwenye Fainali ya Mchujo wa Timu 4 za Daraja la Championship iliyochezwa Uwanjani Wembley Jijini London. Mbele ya Watazamaji 85,656, Norwich City walipiga Bao zao 2 ndani ya Robo Saa ya Kwanza kwa Bao za Cameron Jerome alietumia vyema makosa ya Daniel...
Mabingwa wapya wa England, Chelsea, Leo wamezunguka Mitaa ya London ya Magharibi wakiwa juu ya Basi la Ghorofa la wazi wakiwa na Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu England pamoja na Vikombe vingine Vitatu ambavyo Klabu hiyo ilitwaa Msimu huu. Chelsea wametwaa Ubingwa huu wa England kwa mara ya kwanza baada ya Miaka Mitano.Baada ya Jana kukabidhiwa Kombe la Ubingwa na kufanya sherehe Usiku...
West Ham ilikubali kichapo kwenye mtanange wa kumalizia Msimu wa Ligi Kuu England 2014-2015 ambapo West Ham ilichapwa 2-0 huko Saint James Park na Newcastle ambao ushindi huo umewabakisha Ligi Kuu England, Klabu ya West Ham imetangaza kusaka Meneja mpya baada kuamua kutoongeza Mkataba wa Meneja wao Sam Allardyce. Allardyce, maarufu kama Big Sam, alijiunga na West Ham 2011 wakati Timu...

waliotembelea blog