Saturday, September 7, 2013

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine. Wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine,ndio kwanza shoo inaanza ambapo msanii aliyewahi...
MTALII mmoja raia wa Marekani, Thomas Macfee (58), ameuawa na kundi la tembo wakati akiwa kwenye kambi ya Kakoi Tarangire eneo linalodaiwa kuwa ni mapito ya asili ya wanyama hao.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Manyara, Musa Marambo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 30 mwaka huu, saa 2:30 asubuhi baada ya mtalii huyo akiwa na wenzake watano ambao majina yao hayakupatikana...
Miss Tanzania Brigitte Lymo kwasasa yuko nchini Indonesia kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2013 yanayotarajiwa kufanyika mwezi huu. Akiwa na Miss Uganda Miss Switzerland,Slovakia,Turkey,Vietnam,Czech rep,Guyana,Trinidad and Tobago at diinnneerrr  Miss Trinidad and Tobago, Miss Guyana,Miss Tanzania! vietnam,...
Nimepita pita kwenye Instagram nikakutana na picha ya wazazi wa mwanamuziki Lina Sanga..kushoto ni mama yake na na kulia ni baba yake mzazi...Lina amefanana sana na mama yake au we unaonaje?   hiki ndicho alichokuwa amekiandika Lina kwenye picha hiyo ...
  Salam kwa wana jamvi wote!Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!Alipo ona...

waliotembelea blog