Kutoka
kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha
Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa Meneja wa Mahusiano OXFAM,
Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB
pamoja na Mkamiti Mgawe Afisa utetezi wa haki za kiuchumi OXFAM, wakati
wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa katika Maisha Plus/ Mama
Shujaa wa...
Sunday, February 9, 2014


Kesi dhidi ya aliyekuwa kiongozi wa
waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda,
inatarajiwa kuanza hii leo katika mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
Mahakama hiyo inatarajiwa kuamua ikiwa
Bosco Ntaganda atafunguliwa mashtaka ya mauaji, ubakaji, utumwa wa
ngono na kuwasajili watoto jeshi.
Mshukiwa huyo ambaye pia anafahamika...


Darren Bent alifunga bao dakika za
mwisho mwisho na kumhakikishia kocha wao Rene Meulensteen matokeo muhimu
wakati wa mechi kati ya Fulham na Manchester United iliyochezwa katika
uwanja wa Old Trafford.
Fulham licha ya kushikilia nafasi ya
mwisho kwenye msururu wa ligi kuu ya Premier ilitoka sare ya kufungana
magoli mawili kwa mawili na mabingwa watetezi Manchester United.
Fulham...


Kipindi
cha Pili, Man United walifanya mabadiliko kadhaa kwa kuwaingiza kina
Valencia, Januzaj na Chicharito na hii ilileta uhai na waliweza kufunga
Bao 2 katika Sekunde 90.
Michael Carrick akijiuliza kwa kile kilichotokea...
t
Bao
la Fulham limefungwa na Steve Sidwell katika dakika ya 19. Bao hilo
limedumu mpaka dakika mwisho kwenye kipindi cha...


POS.LOGO &TEAMPWDLGDPTS
1Chelsea2517532756
2Arsenal2517442255
3Manchester City2517354154
4Liverpool2515553350
5Tottenham Hotspur251456047
6Everton2512941145
7Manchester United2512581041
8Newcastle United2511410-237
9Southampton25997736
10Swansea City257612-327
11Hull City257612-527
12Aston Villa257612-927
13Stoke City256811-1426
14Crystal Palace258215-1626
15West Ham United256712-725
16Norwich...
Subscribe to:
Posts (Atom)