John Banda dakika ya 41 anaipa bao Malawi kwenye Uwanja wa Kamuzu Stadium, Blantyre.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Malawi 1-0Tanzania (Agg:1-2)
Ushindi wa Nyumbani wawabeba Taifa stars leo Ugenini kwenye Uwanja wa Kamuzu Stadium, Blantyre - Malawi.
Tanzania wamefanikiwa sasa kuvuka na
wanasonga mbele kwenye Raundi ya Pili watakwaana na Algeria ambao
wanaanzia hatua hii ya raundi ya pili.Washindi...
Sunday, October 11, 2015


Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma
(katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka
kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika usiku wa kuamkia leo
katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa. Jaji Mkuu wa mashindano hayo, Madam Rita (wa pili kutoka kushoto), akimtangaza mshindi huyo. Washiriki waliongia kwenye...


Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa Manchester United Wayne Rooney ambaye kwa hivi karibuni alikuwa na majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Uingereza sambamba na tukio la kupewa kiatu cha dhahabu baada ya kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Uingereza.
Wayne...


Bado uhamisho wa mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona ya Hispania na timu ya taifa ya Hispania Pedro Rodriguez kujiunga na Chelsea unaendelea kuwaumiza wachezaji wenzake wa zamani, baada ya Daniel Alves kusema kuwa ni bora nyota huyo angeendelea kubakia FC Barcelona kuliko kujiunga na Chelsea.
“nilimwambia
...


.jpg)
KOCHA
Mkuu wa Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amechagua kumuanzisha kinda
Farid Malik Mussa badala ya mkongwe Mrisho Khalfan Ngassa katika mchezo
wa leo dhidi ya Malawi.
Taifa
Stars inamenyana Malawi kuanzia Saa 8:00 mchana Uwanja wa Kamuzu katika
mchezo wa marudiano hatua ya kwanza ya mchujo kuwania kupangwa kwenye
makundi ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi.
Na...


Golikipa wa klabu ya Arsenal Peter Cech ambaye kwa sasa anatajwa kuwa ni golikipa bora Uingereza kwa mujibu wa takimu fupi za hivi karibuni kutoka katika mtandao wa metro.co.uk. Takwimu hizo ni kulingana na hatari alizookoa golini kwake katika mechi za Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016.
Golikipa...


Wales
wamefanikiwa kutinga Fainali yao ya kwanza ya Mashindano makubwa tangu
Mwaka 1958 baada ya Jana kufuzu kuingia Fainali za Kombe la Mataifa ya
Ulaya, EURO 2016, licha ya kuchapwa 2-0 Ugenini na Bosnia. Wales
wamefuzu kutoka Kundi B la EURO 2016 pamoja na Belgium ambao Jana
waliinyuka Andorra 4-1 kutokana na Cyprus kuichapa Israel 2-1 katika
Mechi nyingine ya Kundi hilo. Italy nao...


Timu
ya Taifa ya Tanzania Leo hii inajitupa Uwanja wa Kamuzu Banda huko
Blantyre kurudiana na Wenyeji Malawi katika Raundi ya Kwanza ya Kanda ya
Afrika ya Mchujo wa Kombe la Dunia ambazo Fainali zake zitafanyika huko
Russia Mwaka 2018. Katika Mechi ya Kwanza iliyochezwa Jumatano
iliyopita Tanzania iliichapa Malawi 2-0 kwa Bao za Maprofeshanali Mbwana
Samatta na Thomas Ulimwengu ambao...


Sunderland imemteua Sam Allardyce kuwa Meneja wao mpya kwa Mkataba wa Miaka Miwili. Sunderland
wamekuwa hawana Meneja tangu Jumapili iliyopita baada ya Dick Advocaat
kutimka akiiacha Klabu hiyo ikiwa Nafasi ya Pili toka mkiani mwa Ligi
Kuu England. Advocaat, Raia wa Holland mwenye Miaka 68, aliteuliwa
kushika wadhifa wa Umeneja wa Sunderland Mwezi Machi wakati Timu ikiwa
hatarini kushuka...
Subscribe to:
Posts (Atom)