Tukiingia eneo la tukio sambamba with my blood.Rommy J.
Siku ya Jumamosi usiku ilikuwa ni hitimisho la tour ya
washindi wa Kili music awards,ambapo inshu nzima ili hapen kwenye viwanja
vya Leaders club,Dar es salaam.President
wa WCB Wasafi nilikuwepo pia,niliitumia fursa hiyo
kukata kiu ya wapenzi wa music wangu,nikiwa sambamba na
team yangu...
Monday, September 16, 2013



Malkia wa Zouk nchini Hafsa Kazinja akiwa na Omari Mkali (kushoto) na
Abdul Salvador baada ya kukamilisha kurekodi wimbo wa 'NIMUOKEOE NANI'
katika Studio za OM Productions jijini Dar es salaam wikiendi hii.
Baada ya ukimya wa muda mrefu, Malkia wa Zouk Tanzania, Hafsa Kazinja, anaibuka upya katika fani akiwa na ingizo lake
la kwanza kati ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)