aliyekuwa msanii maarufu wa maigizo
hapa nchini Dokii ambaye sasa anajishughulisha na sanaa ya muziki hasa
katika mambo ya siasa sasa yupo katika manispaa ya Iringa tayari kwa
kuwapa burudani mashabiki wake hasa wale wa CCM kwa kuwa ameenda katika
eneo hilo kwa sababu ya kampeni...