JANA,
kwenye Mechi ya Kirafiki huko Die Coface Arena, Jijini Mainz,
Germany,Miroslav Klose aliweka Rekodi ya kuwa Mfungaji Bora wa Germany
ambayo iliifunga Armenia Bao 6-1 lakini imekumbwa na wasiwasi baada
kuumia Mchezaji wao Marco Reus. Klose, mwenye Miaka 35, alitoka
Benchi na kufunga Bao lake la 69 kwa Germany na kumfanya awe ndie
Mfungaji Bora wao katika Historia. Marco Reus...