Jana
huko Parc des Princes Jijini Paris Nchini France Mabingwa wa huko Paris
St Germain waliifumua Barcelona 4-0 katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya
Mtoano ya Timu 16 ya UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI. Kwenye Mechi nyingine ya Raundi hiyo Benfica iliichapa Borussian Dortmund 1-0. Katika
Mechi ya PSG na Barca, Bao za PSG zilipigwa na Angel Di Maria, Dakika
za 18 na 55, Julian Draxler, 40', na Edinson...
Wednesday, February 15, 2017

Subscribe to:
Posts (Atom)