Safari ya kuelekea kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya mwaka 2016
nchini Ufaransa imeanza kuiva baada ya timu tatu kukata tiketi ya
kufuzu kwenye michuano hiyo baada ya kupata matokeo mazuri katika
michezo ya hatua ya makundi iliyopigwa mwishoni mwa wiki.
Moja ya timu...