Sunday, September 14, 2014

Na Father Kidevu BlogWanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha...
Na baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Salum Telela alifunga bao pekee kwa kuunganisha krosi ya mshambulizi Didier Kavumbangu na kuisaidia timu yake kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii, mwaka uliopita.. Kelvin Yondan, Nadir Haroub, Saimon Msuva, ni wachezaji pekee ambao wanaweza kuanza moja kwa moja katika kikosi cha kwanza cha Mwalimu, Marcio Maximo. Mfungaji wa mwaka...
Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi  wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani   uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo  Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne Allybaba...
Wachezaji wa Simba na Ndanda FC wakiingia Uwanjani wakati wa mchezo wa maalum wa kusherehekea Ndanda Day uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kupitia mpango wake wa Wakulima Scheme. Timu hizo zilitoka suluhu. (Na Mpiga Picha Wetu) Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Joseph Simbakalia akisalimia...

waliotembelea blog