Kuna mengi huwa yanaandikwa mitandaoni
na kwenye magazeti kuhusu soka mtu wangu wa nguvu, Jumamosi ya January 9
naomba nikusogezee TOP 5 ya headlines stories zilizoandikwa sana
mitandaoni Jumamosi ya January 9.
Klabu ya Real Madrid ya Hispania imeingia katika mbio za kuwania saini ya beki wa klabu ya Everton ya Uingereza John Stones, beki huyo...
Saturday, January 9, 2016


Mshambuliaji wa kimataifa Gabon ambaye anaichezea klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani Pierre-Emerick Aubameyang
ameingia kwenye headlines mara mbili tofauti. Headlines kubwa ya staa
huyo ni juu ya ushindi wake wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka
2015, lakini ya pili ni kuhusu...
Subscribe to:
Posts (Atom)