Friday, March 13, 2015

Ajali hii imetokea leo asubuhi eneo LA airport Arusha ambapo basi la Arusha express likielekea MBEYA kugongana na Lori lkn hakuna aliyepoteza Maisha Ingawa watu Wamejeruhiwa na Kupelekwa hospitali ya Mkoa Mt Meru....  Ajali hii imetokea baada ya dereva wa basi kujaribu ku-overtake na kukutana na lori mbele yake. Habari zinasema kuwa  abiria wa Lori ndiyo wameumia na kukimbizwa...
RATIBA: Jumamosi Machi 14 15:45 Crystal Palace vs QPR 18:00 Arsenal vs West Ham 18:00 Leicester vs Hull 18:00 Sunderland vs Aston Villa 18:00 West Brom vs Stoke 20:30 Burnley vs Man City Jumapili Machi 15 16:30 Chelsea vs Southampton 19:00 Everton vs Newcastle 19:00 Man United vs Tottenham   Jumatatu...
Chelsea itatwaa Ubingwa wa Ligi Kuu England Msimu huu kwa mujibu wa Meneja wao makeke Jose Mourinho. Juzi Jumatano Chelsea ilitupwa nje ya UEFA CHAMPIONS LIGI na Paris St-Germain lakini kwenye Ligi Kuu England wao ni Vinara wa Ligi wakiwa Pointi 5 mbele ya Timu ya Pili Manchester City ambao ni Mabinngwa Watetezi waliocheza Mechi 1 zaidi. Leo, akiongea na Wanahabari kwa ajili ya Mechi yao ya...
MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kuwa Alex Oxlade-Chemberlain atakaa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki nne kutokana na majeruhi ya msuli wa paja. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 21 alipata majeruhi hayo katika mchezo wa Kombe la FA Jumatatu iliyopita ambao Arsenal iliifunga Manchester United kwa mabao 2-1. Sasa Chamberlain anatarajiwa kukosa mechi za Ligi Kuu...
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Yanga SC na Platinum FC ya Zimbabwe kitakuwa na Sh. 5,000 kwa jukwaa la viti vya rangi bluu na kijaniYanga wataikaribisha Platinum FC ya Zimbabwe katika mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, jumapili.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya...
BEKI wa Paris Saint-Germain, David Luiz amewaomba radhi Chelsea baada ya kushangilia bao alilofunga ambalo lilisaidia kuing’oa timu yake hiyo ya zamani katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Luiz alifunga bao la kusawazisha katika dakika ya 86 ya mchezo huo na kusababisha mchezo huo kwenda katika muda wa nyongeza. Nyota huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amesema anaomba...
TIMU ya Polisi Morogoro imekatisha mkataba na kocha wake Mkuu, Mohamed Adolph Rishaard kutokana na timu hiyo kucheza chini ya kiwango na kupoteza michezo kwenye ligi Kuu.. Akizungumza kwa njia ya simu Mwenyekiti wa klabu ya Polisi Moro, Zuberi Chambera alisema kuwa kocha, Mohamed Adolph Richard amesitisha mkataba naye wa kuifundisha timu kutokana na kufanya vibaya na kusema maamuzi...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Benson Mpesya juu ya madhara makubwa ya mali na maisha ya watu wakati wa ziara maalum ya kutoa pole kwa wahanga wa mvua iliyoandamana na mawe na kusababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata,...
Meneja wa West Bromwich Albion Tony Pulis amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Februari Ligi England Barclays Premier League ambaye alichaguliwa kukinoa Kikosi hicho  tangu Mwezi Januari mwaka huu 2015 na kuiongoza Timu hiyo pasipo kufungwa mwezi Februari. Tony Pulis ameiongoza  West Brom na Mwezi jana Januari hakufungwa hata bao moja. MICHEZO YA MWEZI FEBRUARI...
Harry Kane mchezaji wa Spurs amechaguliwa kuwa mcezaji bora mwezi jana Februari ambaye kwa mwezi uliopita ameiwezesha Tottenham kufufuka na kuweza kupanda juu kwenye ligi Kuu England. Akizibamiza timu kadhaa kama Arsenal, na Akikunga bao waliponyukwa 3-2 na Liverpool huku wakitoka sare na West Ham ya 2-2. Kane akishangilia bao baada ya kuwanyoosha Arsenal bao 2-1 walpocheza...
Zimbabwe wameondolewa kushiriki Kombe la Dunia ambalo Fainali zake zitafanyika huko Russia Mwaka 2018. Kamati ya Nidhamu ya FIFA jana imewajulisha ZIFA, chama cha Soka Zimbabwe, kwamba hawataruhusiwa kucheza Mashindano hayo ambayo wao walipaswa kucheza Mechi za Mchujo za Bara la Afrika ambalo hutoa Nchi 5 zinazocheza Fainali. Kupigwa marufuku huku kumetokana na Nchi hiyo kushindwa kulipa...

waliotembelea blog