Saturday, September 5, 2015

Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo katika mchezo wa kirafiki usiku huu mjini Lisbon. Ufaransa imeshinda 1-0 bao pekee la Mathieu Valbuena ...
TANZANIA leo inakutana na Nigeria katika mchezo wa Kundi G, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia Saa 10: 30 jioni. Mara ya mwisho Tanzania kukutana na Nigeria ilikuwa Septemba 11, mwaka 2002 katika mechi ya kirafiki na Super Eagles ilishinda 2-0.  Lakini kwenye mechi za mashindano ilikuwa Desemba 20, mwaka 1980, katika...
 Kabla ya mechi kuanza naomba nikusogezee first eleven ya timu zote mbili. Taifa Stars Vs Nigeria, mechi itakayopigwa muda mchache kuanzia hivi sasa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.   Kikosi cha Taifa Stars    Kikosi cha Nigeria Super Eagles  ...
Hatua ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON2017) kundelea weekend hii katika viwanja tofauti tofauti barani Afrika, Nimeona nikusogeze na ratiba ya mechi za Septemba 5 na 6 za michezo kadhaa ya hatua ya hii. Ratiba ya mechi za Jumamosi ya Septemba...
MSHAMBULIAJI Sergio Aguero amefunga mabao mawili na kuseti matatu Argentina ikiifumua Bolivia 7-0 usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa BBVA Compass mjini Houston. Mwanasoka Bora wa Ulaya, Lionel Messi amefunga mabaio mawili licha ya kuingia dakika 65 akitokea benchi, huku Ezequiel Lavezze akifunga mawili pia na linguine Angel Correa. Lavezzi alifunga dakika ya sita na...
. Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 kuna taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa hivi karibuni kwamba Mahakama ya kimataifa ya ICC itakuja Tanzania kusimamia Uchaguzi. Sasa leo ripota wa millardayo.com & Amplifaya alikutana na Mkurugenzi wa huduma za kisheria wa tume ya Uchaguzi,...
Ugonjwa wa moyo ni ugonjwa ambao unawasumbua watu wengi, kwa wanasoka ugonjwa huu mara nyingi hufanya wastaafu soka ili kulinda maisha yao, iliwahi kumtokea uwanjani Fabrice Muamba wakati anachezea klabu ya Bolton, moyo wake ulisimama kufanya kazi...

waliotembelea blog