Wednesday, October 28, 2015

 Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande)  Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.   Timu zikiingia uwanjani.  Timu...
LEO Manchester United wako kwao Old Trafford kucheza Mechi ya Raundi ya 4 ya Kombe la Ligi, Capital One Cup, dhidi ya Middlesbrough ambayo ipo Daraja la chini la Championship. Baada ya kutoka Sare na CSKA Moscow, kwenye UEFA CHAMPIONS LIGI na Manchester City, kwenye Ligi Kuu England, Man United Leo wanapambana na Boro kwa mara ya kwanza tangu Msimu wa Ligi Kuu England wa 2008/09 wakati Boro...
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakoingia kambini Jumapili jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14 jijini Dar...
Loic Remy akiisaidia Chelsea kusawazisha kwa kufanya 1-1 na mtanange kwenda dakika 1201-0 Jonathan Walters akiifunga Chelsea dakika ya 52 kipindi cha pili, katika dakika za majeruhi Loic Remy ameisawazishia Chelsea bao na kufanya 1-1 na mpira kwendelea katika dakika za ziada 30 kwenye Uwanja wa Britannia Stadium huku Stoke wakiwa pungufu 10 uwanjani baada ya mwenzao Phillip Bardsley kupata...
Joao alipofanya 2-03-0Ushindi!!3-0!!!Raha tupu kwa Meneja wa SheffiedMeneja wa Arsenal, Arsene Wenger akichanganyikiwa kwa kichapoShangwe kwa MashabikiSheffield Wednesday 3, Arsenal 0. Sam Hutchinson anaiwezesha timu yake bao la tatu kipindi cha pili dakika ya 51 na kuwafanya Arsenal waduwae na kujiuliza kwenye uwanja wa Hillsborough, EnglandRoss Wallace wa (Sheffield Wednesday) anaipatia...

waliotembelea blog