MAKAMANDA WA CHADEMA WANAOKABILIWA NA KESI YA UGAIDI WAREJESHWA RUMANDE-TABORA
Makamanda watano wa Chadema
wakiingizwa ukumbi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Tabora
kufuatia kesi ya Ugaidi inayowakabili akiwemo kaimu Katibu wa Chama
hicho mkoa wa Dar-es-Salaam Bw.Henry Kileo aliyeshika Kitabu mkononi.
Wanachama watano wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-...
Tuesday, July 9, 2013



Hii ndio picha ya kwanza ya Amber Rose na Wiz Khalifa baada ya kufunga ndoa.
Mastaa Amber Rose na rapper Wiz Khalifa wamefunga ndoa rasmi jana July 8 2013 na sasa ni Mr. and Mrs. Thomaz ambapo muda mfupi baada ya ndoa Amber alitweet “Yay me and my baby are officially married!!!” na kuweka hiyo picha instagram iliyokua na maneno yanasema
...



AGNESS MASOGANGE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AFRIKA KUSINI
HATIMAYE
wale Wanawake wawili walionaswa na madawa ya kulevya Afrika kusini
wametambuliwa kuwa ni mabinti wa KITANZANIA ..
Mabinti hao wanadaiwa
kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh.
bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini...



NANDO NA FEZA KESSY WAENDELEA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI YA BIG BROTHER......HAKUNA ALIYEINGIA KIKAANGONI
Wiki hii Watanzania na mashabiki wa shindano la Big Brother Africa
hawana haja ya kuwa wasiwasi ya kuwaokoa washiriki wao kwakuwa Nando na
Feza Kessy wako safe.
Kilichobaki ni kuvuta tu viti virefu na kuendelea
na bata huku tukiwaangalia wengine wakihaha...
Subscribe to:
Posts (Atom)