Saturday, January 4, 2014

Alvaro Negredo akishangilia bao lake katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza.       Mchezaji wa City Edin Dzeko akijaribu kuwatoka mabeki wa Blackburn. Bao la City limefungwa dakika ya mwishoni kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wao Negredo baada ya kupigwa mpira wa kona na hatimaye Negredo kuupata ukiwa umepoa na kuunganisha hadi langoni. City wameeenda mapumziko...
Moto mkubwa umezuka katika hotel ya Janco forest mpya jijini Mbeya chanzo cha moto hakijajulikana mpaka tunaondoka katika tukio hilo ...
La Liga ya Spain na Serie A ya Italy, zinarudi tena dimbani Wikiendi hii baada kuwa Mapumzikoni kwa ajili ya Krismasi na Mwaka Mpya. Lionel Messi kwenye mazoezi leo Catalan capital Wakati La Liga itachezwa kuanzia Jumamosi Januari 4, Serie A itaanza Jumapili Januari 5. Kwa Wapenzi wa La Liga, habari njema ni kupona kwa Mchezaji Bora Duniani anaecheza Klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi,...

waliotembelea blog