Wednesday, April 22, 2015

Sina mbavu mieee nipisheeee!!! Chicharito baada ya kuizima Atletico Madrid usiku huu!Chicharito akishangilia bao lake la pekee baada ya kuifungia na kuipa Ushindi Real usiku huu dhidi ya Atletico Madria kwenye marudiano ya Klabu Bingwa Ulaya. Bao hilo limewapeleka Real Madrid Nusu Fainali ya 31 na Droo ya Nusu Fainali itachezeshwa Ijumaa ya wiki hii.Javier Hernández aliwafungia bao Real...
Wakwanza kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Aneth Muga akiwa ameshilia bango linaloonyesha huduma mpya ya Airtel Wi-Fi intaneti maalum kwa wanavyuo iliyozinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza Mwanza katika chuo cha St Augustine (SAUT) pamoja nae anaefuata ni raisi wa serikali ya wanafunzi Sogone Wambura, Mshauri wa wanafunzi chuoni hapo bw,Liberates Ndegeulaya...
Dakika 90 zilimalizika kwa 0-0, Juventus wakasonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya Ushndi wao wa kwanza wa bao 1-0 kuwabeba mpaka leo.Mchezo umemalizika dakika 90 bila kufungana na kuumaliza kwa sare ya nguvu sawa ya 0-0, Ushindi wa Kwanza wa Juventus wa bao 1-0 dhidi ya As Monaco ndio umekuwa nguzo kwao Juve baada ya leo kwenye marudiano kutoshana nguvu. VIKOSI:Monaco: Subasic, Fabinho,...
Robin van Persie Jana alicheza Mechi yake ya kwanza tangu apone Enka yake wakati Kikosi cha Vijana wa chini ya Miaka 21 wa Manchester United walipotoka Sare 1-1 na wenzao wa Leicester City katika Mechi ya Ligi ya Vijana ambayo Man United ndio Vinara. Jumamosi Van Persie alikuwa Benchi wakati Man United inacheza huko Stamford Bridge Mechi ya Ligi Kuu England na kufungwa 1-0 na Chelsea...
Kutoka kushoto ni Juma Herman(meneja wa Green Palm Hotel, Issaya Mwakilasa aka Wakuvwanga, Jhikolabwino Manyika, Kelvina John, Mwenyekiti Masoud Kipanya na Tonny Alphonce(Mtangazaji Metro fm 99.4 Siku ya Ijumaa ya tarehe 17/04/2015 ujumbe wa Imetosha Foundation ukiongozwa na Mwenyekiti Masoud Kipanya ulifanya mahojiano katika kituo cha redio cha Metro Fm 99.4 kwenye kipindi cha Pambazuko...
Nyema akipongezwa kwa kuifungia Barca bao mbili usiku huu dhidi ya PSG.Neymar dakika ya 34 aliifungia Barca bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya PSG kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira uliopigwa Daniel Alves. Kipindi cha pili hakuna aliyeliona lango l mwenzake Timu zilishambuliana mara kwa mara. Ushindi huu Barca wanasonga hatua ya Nusu Fainali kwenda kukamilisha Timu Nne za Nusu Fainali...
Robert Lewandowski dakika ya 40 tena alifunga bao jingine na kufanya 5-0 baada ya kupata pasi kutoka kwa Thomas Müller.  Hadi mapumziko Bayern walikuwa mbele ya bao 5-0 dhidi ya Timu ya FC Porto. Raha iliyokuwa ikisubiriwa na Mashabiki!! Thomas Müller akishangilia na mwenzake.Thiago Fc Porto Chalii!! Ushindi wa gemu ya kwanza wameivurunda!! hoi!Hii ndiyo raha ya kuwa Meneja!!...

waliotembelea blog