Monday, February 9, 2015

RATIBA: Jumanne Februari 10 22:45 Hull vs Aston Villa 22:45 Sunderland vs QPR 22:45 Arsenal vs Leicester 23:00 Liverpool vs Tottenham Jumatano Februari 11 22:45 Southampton vs West Ham 22:45 Stoke vs Manchester City  22:45 Chelsea vs Everton 22:45 Manchester United vs Burnley 23:00 Crystal Palace vs Newcastle  23:00 West Brom vs Swansea...
Vijana wakifanya yao kwenye Uzinduzi jana jumapili tarehe 8 Feb, 2015. Ukiwa ni Uzinduzi maalum wa Shindano hilo la Nani Mkali Bukoba. Shindano linalokutanisha Makundi 10. Makundi matatu ya Kina Dada na makundi 7 ya Upande wa Vijana, Ikiwa ni Wasanii wa kucheza na Kuigiza. Majaji. Vijana wakiendelea kutoa burudani kwenye Uzinduzi wa Shindano la Nani Mkali Bukoba yaliyofnguliwa jana Jumapili...
Kipa Nambari Wani wa Manchester United David De Gea, yupo kwenye mazungumzo na Klabu yake kuhusu kupewa Dili mpya na wala hajafikia makubaliano na Real Madrid kuhamia huko Spain.  Habari hizi zimetobolewa na Wakala wa Kipa huyo kutoka Spain, Jorge Mendes, ambae ametupilia mbali dhana kuwa amekubaliana na Real Madrid kujiunga nao. Hivi sasa De Gea, mwenye Miaka 24 na ambae pia ni Kipa...
TFF Leo imetoa Ratiba yenye marekebisho kidogo ili kuzipisha Klabu za Azam FC na Yanga kushiriki vizuri michuano ya Klabu ya CAF Barani Afrika.  Azam inacheza Ligi ya Mabingwa, CAF CHAMPIONS LIGI, na itaanzia Nyumbani Februari 15 kwa kuikaribisha El Merreikh ya Sudan kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam wakati Yanga itacheza michuano ya CAF ya Kombe la Shirikisho na...
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA: PosLogo &TeamPWDLGDPts 1Chelsea2417523356 2Manchester City2414732349 3Southampton2414372145 4Manchester United2412841744 5Tottenham Hotspur241347643 6Arsenal2412661842 7Liverpool241167639 8West Ham United241077837 9Swansea City24978-334 10Stoke City24969-233 11Newcastle United24879-631 12Everton24699-327 13Crystal Palace246810-826 14Sunderland244128-1224 15West...

waliotembelea blog