Thursday, November 26, 2015

FC Barcelona na Neymar zinakaribia kusaini Mkataba mpya ambao utamfanya Kepteni huyo wa Brazil kuzoa Euro Milioni 15 kwa Msimu. Donge hilo nono litamfanya awe Mchezaji wa 3 Duniani anaelipwa Mshahara wa juu kabisa akiwa nyuma ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Hivi sasa Neymar inasemekana analipwa Euro Milioni 8.8 kwa Mwaka. Habari hizi zimetobolewa na Jarida la Marca huko Spain ambalo...
Jana klabu ya Manchester City ilikubali kipigo cha bao 1-0  dhidi ya Juventus ikiwa ni ligi ya mabingwa Ulaya. Kiungo wa Juve Paul Pogba jana usiku alionesha uzalendo kwa taifa lake hilo baada ya kuvalia viatu maalumu vyenye rangi ya bendera ya Ufaransa kama sehemu ya kuwaenzi wahanga wa shambulio la kigaidi lililotokea katika jiji...
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba amesema matarajio yake ya sasa ni kuona anarudi kwenye klabu yake ya zamani ya Chelsea kama kocha. Drogba, ambaye kwa sasa anacheza soka ya kulipwa ya Montreal Impact huko Canada, aliifungia Chelsea...

waliotembelea blog