David Moyes, meneja wa Manchester United
Kocha Mkuu wa Klabu ya
Manchester United ya England, David Moyes amesema angependa kusajili
baadhi ya wachezaji kuimarisha kikosi chake lakini ana wasi wasi huenda
asiweze kuwapata wachezaji hao katika usajili wa dirisha dogo mwezi huu
wa Januari.
...
Subscribe to:
Posts (Atom)