Thursday, July 31, 2014

Mkurugenzi wa bendi, Isha Mashauzi akilikabili jukwaa vilivyo. Bendi ya Taarab inayokimbiza mjini, Mashauzi Classic usiku wa kuamkia leo ilikamua kinoma katika ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba Mjini. Kiongozi wa Mashauzi Classic, Isha Makongo akiliongoza kundi lake kutoa burudani katika Ukumbi wa Lina's Night Usiku huuBaadhi ya Waimbaji wa Kundi hilo la Mashauzi Classic wakiwajibika...
LICHA ya kuboronga kombe la dunia majira ya kiangazi mwaka huu nchini Brazil, Fabio Capello ataendelea kuwa kocha wa timu ya taifa ya Urusi mpaka 2018 . Waziri wa michezo wa nchi hiyo, Vitaly Mutko amemtania kuwa kama atatwaa kombe la dunia lijalo, atazikwa sehemu aliyozikwa mwandishi gwiji, Fyodor Dostoyevsky. Muitaliano huyo aliiongoza nchi hiyo ya Ulaya mashariki katika mashindano...
  NEYMAR ameweka wazi kuwa atarudi uwanjani agosti 18 mwaka huu kuitumikia Barcelona katika mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu ya kombe la Joan Gamper dhidi ya Leon. Mbrazil huyo alivunjika mfupa wa uti wa mgongo wakati wa mechi ya robo fainali ya kombe la dunia dhidi ya Colombia na alizikosa mechi mbili. Neymar aliwakosa Ujerumani, hatua ya nusu fainali...
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ akizikonga nyoyo za mashabiki wa Dar Live katika Usiku wa Mnyama na Wanyama. Mnyama TID akijiachia kwa mashabiki wake wa Dar Live. Mwanamuziki Jafarai akipagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live. Jay Moe akifanya makamuzi katika steji ya kupanda na kushuka ya Dar Live. Inspector Haroun...
WACHEZAJI WA COASTAL UNION U-20 WAKIWA UWANJANI NA AFRICAN SPORTS MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO KULIA AKIWA NA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA COASTAL UNION SALIMU AMIRI KUSHOTO MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO AKIWA NA MWAVULI AKIANGALIA MECHI YA COASTAL UNION U 20 NA AFRICAN SPORTS HUKU MVUA IKIENDELEA KUNYESHA KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI LEO MAKAMU...
 Na Boniface Wambura, Johannesburg Kikosi cha Taifa Stars kimewasili salama jana (Julai 30 mwaka huu) hapa Johannesburg kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kwenda Maputo, Msumbiji kwa ajili ya mechi dhidi ya Mambas itakayochezwa Jumapili. Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager imefanya mazoezi mara mbili leo- asubuhi na jioni kwenye uwanja wa Bedfordview Country Club....
Chelsea imeichapa Vitesse Arnhem ya Uholanzi kwa mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa. Lakini mechi hiyo ilikuwa na rekodi kadhaa, mfano Cesc Fabregas akianza kuifungia Chelsea bao la kwanza katika hayo matatu, mabao mengine yalifungwa na Mo Salah, Nemanja Matic. Diego Costa ambaye alitengeneza mabao yote matatu alitaka kuzichapa uwanjani na beki wa Vitesse, Guram Kashia...

waliotembelea blog