Anatimka zake: Kiungo wa Chelsea, John Obi Mikel anahusishwa kuhamia klabu za Italia.
Imechapishwa Julai 16, 2014, saa 12:08 asubuhi
KLABU ya Chelsea wanatarajia kumuuza kiungo wao raia wa Nigeria, John Obi Mikel, huku kukiwa na taarifa kuwa klabu za Italia zimekubali kutoa ofa ya paundi milioni 5.
Mikel alianza katika mechi 11 tu za ligi kuu msimu uliopita na alipata...
Wednesday, July 16, 2014


Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
0712461976
KOCHA wa Simba sc, Mcroatia,
Dravko Logarusic ameanza kazi kukinoa kikosi chake kwa ajili ya
maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara katika uwanja wa
Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
Loga ameamua kuanza kambi mapema kwa lengo la kurejesha heshima ya Simba iliyopotoea kwa miaka mitatu mfululizo.
Katika...


Straika wa Atletico Madrid Diego Costa amekamilisha Uhamisho wake kwenda Chelsea na kusaini Mkataba wa Miaka Mitano.Inaaminika Dau la Uhamisho la Straika huyo Mzaliwa wa Brazil lakini anachezea Spain ni Pauni Milioni 32.Costa anakuwa Mchezaji wa 3 kuchukuliwa na Chelsea kwa ajili ya Msimu mpya na wengine ni Cesc Fabregas na Mario Pasalic.Msimu
uliopita akiwa na Atletico Madrid, Diego Costa...


MCHEZAJI wa zamani wa Arsenal na Chelsea Ashley Cole amesema Wachezaji wa England ni waoga kwenda kucheza Klabu za Kigeni.Cole,
mwenye Miaka 33, amejiunga na AS Roma ya Italy baada kuondoka Chelsea
kufuatia kumalizika kwa Mkataba wake ambao haukuongezwa.Akiongea na
Wanahabari kwa mara ya kwanza kama Mchezaji wa AS Roma, Cole alitamka:
“Wachezaji wa Kiingereza pengine wanaogopa kwenda nje...


Germany
wamerudi Nyumbani kwao Berlin wakiwa na Kombe la Dunia mkononi baada
kuwafunga Argentina 1-0 Juzi na kupokewa kwa shangwe kubwa na maelfu ya
Wajerumani.Nahodha Philipp Lahm, akifuatiwa na Bastian Schweinsteiger, aliwaongoza Wachezaji wenzake kushuka toka kwenye Ndege.Maelfu
ya Wajerumani walikuwa wakiisubiri Timu yao katikati ya Jiji la Berlin,
huko Brandenburg Gate, kwenye eneo...
Subscribe to:
Posts (Atom)