Gwiji
wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes
jana amewanoa wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 15
(Serengeti Boys) katika siku yake ya kwanza nchini katika kuadhimisha
miaka 100 ya benki ya standard Chartered tangu kuanzishwa kwake. “Ni
muhimu sana kwa kuwafundisha vijana wadogo soka katika umri huo ni wito
kwa viongozi wa soka hapa Tanzania...